British MPs Raise Questions About Vodafone’s Involvement In Censoring Tanzania’s Opposition

0
A police official attempts to pull a man from his van during ongoing security operations prior to Tanzania's general elections, in Stone Town, Zanzibar, Tanzania, 27 October 2020. - ANTHONY SIAME/EPA-EFE/Shutterstock /Shuttershock

Tambua Historia Ya Bi Kidude Malkia Wa Taarab Zanzibar

0
Linapotajwa jina lake,kwa hakika hustua nyoyo za watu wengi duniani hasahasa wapenzi wa muziki wa taarab kisiwani Zanzibar na duniani kwa ujumla. Alivuna umaarufu...

Beautiful City of Dar Es Salaam In Pictures

0
Dar Es Salaam, a city of six million on the Indian Ocean, is expected to have 10 million within a decade and—according to one...

Joe Biden Aahidi Kuiondoa Tanzania Kwenye Nchi Zilizowekewa Vikwazo Vya Kusafiri Marekani

0
Rais mteule wa Marekani, Joe Biden, ameahidi kuindoa Tanzania na nchi nyingine za Kiafrika kwenye orodha ya nchi zilizowekewa vikwazo vya kusafiri nchini Marekani...

South African Women Are Showing Off Their Massive Assets In Viral Vuthela Challenge

0
South African women are known to possess massive assets in Africa if not the whole World. What started as a challenge on Twitter has...

Balozi Wa Marekani Nchini Tanzania Ahoji Kuhusu Uvunjwaji Wa Haki Na Demokrasia

0
Nilifika nchini Tanzania kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 30 iliyopita kufanya kazi ya kujitolea kama daktari na uzoefu huo ulinifanya nijenge heshima...

Mabilionea 15 Tajiri Zaidi Afrika | Wana Jumla Ya Utajiri Wa Dola Bilioni $73

0
Mabilionea tajiri zaidi 15 barani Afrika wamepata utajiri wao kwa kuwekeza katika tasnia kama almasi, mafuta, na biashara za bidhaa za kawaida. Kwa jumla,...

All The Men J.Lo Dated Before Finding Love With A-Rod

0
Jennifer Lopez, AKA J.Lo, has found her true love in baseball star Alex Rodriguez. Their fairytale romance thrilled fans, with the pair getting engaged...

Maajabu Ya Ziwa Ngosi Lililopo Mkoani Mbeya Nchini Tanzania

0
Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika inayozungukwa na vivutio vingi vya utalii na vingine inawezekana hata havitambuliwi na wenyeji. Ziwa Ngosi yawezekana kuwa ni...

Rais Magufuli Apigia Magoti Wananchi Wa Njombe Wakati Akiomba Kura Za Uchaguzi Mkuu

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli, amewapigia magoti wananchi wa mji wa Njombe mkoani Iringa ambao walijitokeza kumsikiliza kwenye mkutano...

Rais Magufuli Amtumbua Naibu Katibu Mkuu Wizara Ya Elimu

0
Rais John Pombe Magufuli, amemtumbua Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Dkt. Ave Maria Semakafu kutokana na kutangaza kwa kufutwa...

Mbwana Samatta Ahamia Timu Ya Fenerbahce Ya Uturuki

0
Mchezaji wa soka wa kimataifa wa Kitanzania, Mbwana Ally Samatta, amehamia timu ya Fenerbahce ya nchini Uturuki akitokea timu ya Aston Villa nchini Uingereza....

Mwenyekiti Wa CHADEMA Freeman Mbowe Ashindwa Ubunge Uchaguzi Jimbo La Hai

0
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni aliyekuwa Kiongozi wa Kambi Ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe, ametangazwa...

Ijue Hifadhi Ya Taifa Ya Serengeti Nchini Tanzania

0
Serengeti ni hifadhi kongwe, lakini pia ni hifadhi maarufu sana duniani kote inayopatikana nchini Tanzania. Inatajwa kuwa ni urithi wa dunia, hifadhi hii inaongoza...

Kifo Cha Rais John Magufuli Chastua Watu Wengi Duniani

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli amefariki dunia siku ya leo Jumatato, tarehe 17/3/2021 wakati akipatiwa matibabu ya matatizo...

Socialite And Zimbabwean Businessman Ginimbi Kadungure Dies in Car Accident

0
Zimbabwean socialite and businessman Genius Kadungure, commonly known as “Ginimbi”, died instantly in a freak road accident in the early hours of Sunday. Three...

Tanzania’s Populist Leader John Magufuli Declared Winner Of Flawed Vote

0
Tanzania’s populist President John Magufuli has been declared the overwhelming winner of a second term amid allegations of widespread election fraud, while the ruling...

Rais Obama Arudi Ikulu Ya Marekani

0
Kwa mara ya kwanza tangu aondoke madarakani January 2020, Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, alitembelea Ikulu ya Marekani iliyopo Washington, D.C. na...

Mfahamu Samia Suluhu Hassan Rais Mtarajiwa wa Tanzania

0
Kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan ataapishwa kuwa Rais...

B.O.B Micharazo Na Ujio Mpya Ndani Ya Bongo Hip Hop

0
Kundi la muziki wa kizazi kipya katika miondoko ya Hip Hop lenye maskami yake maeneo ya kinondoni jijini Dar es salaam limeweka wazi ujiowake...

Maunda Zorro Afariki Dunia Kwa Ajali Ya Gari

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya au kama unavyojulikana na wengi kwa jina la Bongo Flava ambaye pia alikuwa muigizaji wa tamthiliya, Maunda Zorro,...

Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania Yamfungia Tundu Lissu Kufanya Kampeni Za Urais

0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imemfungia mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu kwa siku saba...

Wajumbe Wa Bunge La Ulaya Wahoji Msaada Wa Bilioni 74 Za COVID-19 Kwa Tanzania

0
Wajumbe wa Bunge la Ulaya wakiongozwa na mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje ya Bunge la Umoja wa Ulaya, David McAllister, wamehoji ni...
Krasukha-4

Ukraine Yakamata Mfumo Wa Juu Zaidi Wa Kijeshi Wa Urusi Wa Vita Vya Kielektroniki

0
Vikosi vya kijeshi vya Ukraine vimekamata sehemu ya moja ya mifumo ya juu zaidi ya vita vya kielektroniki vya Urusi, ambayo inaweza kufichua siri...

Wasanii Nigeria Waongoza Maandamano Ya Haki Kuivunja SARS Huku Wa Tanzania Wageuka Makada Wakubwa...

0
Baada ya siku kadhaa za maandamano ya vijana nchini Nigeria huku wakiongozwa na wasanii maarufu kushinikiza kuvunjwa kwa kilichokuwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Wizi...

Los Angeles Lakers Wakiongozwa na Lebron James Watwaa Ubingwa NBA 2019-20

0
Timu ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Lakers kutoka jijini Los Angeles, California, imechukua ubingwa wa NBA kwa mwaka 2020. Timu hiyo iliyokuwa...

Rais Magufuli Na Makamu Wake Waapishwa Kuongoza Miaka Mingine Mitano Tanzania

0
Rais John Magufuli, na Makamu wake Samia Suluhu, waliapishwa na jaji mkuu wa mahakama kuu ya Tanzania, Ibrahim Juma kuongoza Tanzania katika kipindi kingine...

Wasanii Wamuenzi Rais Magufuli Kwa Nyimbo Zenye Majonzi Na Huzuni

0
Wasanii mbalimbali wa muziki nchini Tanzania wamemuenzi aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kwa nyimbo mbalimbali zilizojaa hisia, huzuni...

Leo Ni Siku Ya Uchaguzi Mkuu Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

0
Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania kutoka CCM, John Magufuli na CHADEMA, Tundu Lissu.
Amini - Tujidai

Msanii Wa Bongo Flava Amini Avunja Ukimya

0
Msanii wa Bongo Flava Amini Mwinyimkuu,maarufu kama "Amini" amevunja ukimya kwa  kurudi tena katika muziki baada ya kimya cha muda mrefu. Akizungumza na Bongo...

Diamond Platnumz Adai Bongo Flava Inakuwa Kwa Kasi Kimataifa

0
Huenda akizungumza unaweza usimwelewe, lakini Diamond Platnumz aliamua kufikiri nje ya boksi na kufanikiwa kufanya kile alichokuwa akikikusudia, leo hii tayari makumi ya wasanii...

Clinton, Bush, Obama: Marais Wa Zamani Wa Marekani Wajitolea Kuanza Chanjo Ya COVID-19

0
Marais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton, George W. Bush, na Barack Obama, wamejitolea kuanza kufanya chanjo ya ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi...

Tundu Lissu: Nikishindwa Kwa Haki Nitakuwa Wa Kwanza Kujitangaza | Uchaguzi 2020

0
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Tundu Lissu, amesema akishindwa kwa haki kwenye nafasi ya...

Mabasi Yagongana Mkoani Mara Nchini Tanzania na Kusababisha Vifo Vya Watu 39

0
Musoma. Watu 39 wamefariki dunia huku 79 wakijeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu eneo la Sabasaba, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara. Miongoni mwa waliofariki dunia...
russia aeroflot airbus

Urusi Yapitisha Sheria Ya Kutaifisha Ndege Za Nchi Za Magharibi

0
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametia saini sheria ambayo itaruhusu mashirika ya ndege ya Urusi kuchukua udhibiti wa mamia ya ndege zilizotengenezwa na nchi...

Timu Za Mataifa 29 Zafuzu Kushiriki Kombe La Dunia Nchini Qatar

0
Timu za mataifa 29 tayari zimefuzu kushiriki mashindano ya kombe la dunia kwa mwaka 2022 nchini Qatar. Jumla ya timu za mataifa 32 zinatarajiwa...

Saadani: Hifadhi Ya Kipekee Iliyo Ufukweni Mwa Bahari Barani Afrika Inayokosa Watalii

0
Unapozungumzia hifadhi 16 za taifa, Mbuga ya Saadani siyo maarufu masikioni mwa Watanzania wengi. Pengine hii inatokana na kupandishwa hadhi miaka ya hivi karibuni. Pia...
Msanii wa Bongo Flava Baby Madaha

Baby Madaha Aweka Wazi Kati Yake Na Juma Nature

0
Msanii wa bongo flava, Baby Madaha hivi karibuni amezungumzia yaliyojiri kati yake na msanii mwenzake ajulikanae kama Juma Nature baada ya wawili hao kuonekana...

Tundu Lissu Aomba Mdahalo Na Rais Magufuli | Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

0
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mhe. Tundu Lissu ametoa wito kwa Mgombea Urais...

Joe Biden Ashinda Urais Kwenye Uchaguzi Mkuu Marekani

0
Makamu wa rais wa zamani, Joseph Robinette Biden Jr., amechaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani. Ushindi wa rais mteule Joe Biden, umetangazwa na...