Tyla’s “Colored” Identity Sparks Global Debate

0
One of the standout chart-toppers of the year is "Water" by Tyla, the talented South African artist. Propelled to global recognition, the track gained...

The Top 10 Most Subscribed West-African Male Artists On YouTube

0
In the vibrant landscape of African music, Nigerian artists have undeniably claimed their dominance, particularly within the Afrobeats genre. This trend extends to YouTube subscription...

The Top 10 Most Subscribed East-African Male Artists On YouTube

0
Tanzanian artists continue to dominate East African music on YouTube's subscription charts, holding the top four spots among male artists. Diamond Platnumz, in particular, boasts...

The Top 10 Most Subscribed East-African Female Artists On YouTube

0
In a spectacular display of musical prowess, Tanzanian artists have once again asserted their dominance in the YouTube subscription charts for East African female...

The Top 10 Most Subscribed Sub-Saharan Africa Male Artists On YouTube

0
Tanzanian sensation Diamond Platnumz maintains his YouTube reign, commanding an impressive subscriber base of 8.35 million, positioning him as the foremost subscribed artist in...

Tyla’s Water Video Hits 50 M Views On YouTube

0
Tyla's "Water" video has crossed the 50 million views milestone on YouTube in just a month, becoming the most-watched music video by an African...

The Top 10 Most Subscribed African Female Artists On YouTube

0
ZUCHU, representing Tanzania, holds the title of the most subscribed female artist in Sub-Saharan Africa on YouTube. However, the top 10 list is largely...
Met Gala Fashion

Met Gala 2022: Best Fashion From The Red Carpet

0
The Met Gala is fashion's big night out -- and celebrities are known for saving their most striking outfits for its often-theatrical red carpet. Stars across...

Rais Samia Akutana na Makamu Wa Rais Wa Marekani Kamala Harris

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, jijini Washington,...

Maunda Zorro Afariki Dunia Kwa Ajali Ya Gari

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya au kama unavyojulikana na wengi kwa jina la Bongo Flava ambaye pia alikuwa muigizaji wa tamthiliya, Maunda Zorro,...

Uber Yasitisha Huduma Zake Za Usafiri Tanzania

0
Kampuni ya inayotoa huduma za usafiri ya Uber, imeamua kusitisha kwa muda kutoa huduma zake nchini Tanzania kulingana na taarifa iliyosambazwa na Uber Tanzania...

Rais Obama Arudi Ikulu Ya Marekani

0
Kwa mara ya kwanza tangu aondoke madarakani January 2020, Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, alitembelea Ikulu ya Marekani iliyopo Washington, D.C. na...
Tesla-Elon Musk

Kiwanda Kikubwa Cha Magari Ya Tesla Chafunguliwa Nchini Ujerumani

0
Kiwanda cha kikubwa cha magari yanayotumia umeme aina ya Tesla kimefunguliwa rasmi mbele ya Mkurugenzi Mtendaji, Elon Musk, na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz,...

Grammy Awards 2022: Best Fashion On The Red Carpet

0
The Grammy Awards have a reputation for attracting bolder, riskier, and more eye-popping fashion than almost any other major award ceremony -- and the stars didn't...
Grammy Awards 2022

The 2022 Grammy Awards In Pictures

0
Silk Sonic, Olivia Rodrigo, Jon Batiste, and Chris Stapleton were some of the big winners at Sunday night's Grammy Awards show, which also included an emotional...

Timu Za Mataifa 29 Zafuzu Kushiriki Kombe La Dunia Nchini Qatar

0
Timu za mataifa 29 tayari zimefuzu kushiriki mashindano ya kombe la dunia kwa mwaka 2022 nchini Qatar. Jumla ya timu za mataifa 32 zinatarajiwa...

Jiji La Mariupol Lilivyoharibiwa Ukraine: Angalia Picha Za Kabla Na Baada Ya Vita Na...

0
Zaidi ya mwezi mmoja umeshapita tangu nchi ya Urusi ilipoivamia Ukraine. Mji wa Mariupol umeachwa ukiwa umeharibiwa vibaya, kama inavyoonyeshwa kwenye picha, mji huu...
Zendaya at Oscars awards

Standout Looks From The Oscars 2022 Red Carpet

0
After last year's limited-capacity event, the Academy Awards returned in full force Sunday evening -- and the red carpet was back to something resembling its glamorous...
Will Smith hit Chris Rock at the Oscars

Will Smith Ampiga Kibao Chris Rock Stejini Kwenye Tuzo Za Oscars

0
Mcheza filamu maarufu duniani Will Smith, amempiga kibao mcheza filamu mwenzake ambaye pia ni mchekeshaji, Chris Rock, stejini katika sherehe za tuzo za 94...
Krasukha-4

Ukraine Yakamata Mfumo Wa Juu Zaidi Wa Kijeshi Wa Urusi Wa Vita Vya Kielektroniki

0
Vikosi vya kijeshi vya Ukraine vimekamata sehemu ya moja ya mifumo ya juu zaidi ya vita vya kielektroniki vya Urusi, ambayo inaweza kufichua siri...

Rais Samia Azindua Daraja La Tanzanite Jijini Dar Es Salaam

0
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi daraja la Tanzanite jijini Dar Es Salaam lenye urefu wa Km...

Urusi Yatumia Makombora Ya “Hypersonic” Dhidi Ya Ghala La Silaha La Ukraine

0
Serikali ya Urusi imeanza kutumia makombora ya kivita ya Kinzhal (Dagger) kuharibu ghala kubwa la silaha katika eneo la Ivano-Frankivsk magharibi mwa Ukraine. Shirika la...
Rais Magufuli

Maadhimisho Ya Mwaka Mmoja Tangu Rais Magufuli Afariki Dunia

0
Leo ni maadhimisho ya mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli afariki...
Ummy Mwalimu

Tanzania Yandoa Sharti La Kuwa Na Cheti Cha PCR Kwa Wasafiri

0
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo kuanzia tarehe 17 Machi mwaka 2022, imeondoa rasmi sharti la wasafiri wote wanaoingia ambao wamechanja chanjo...
russia aeroflot airbus

Urusi Yapitisha Sheria Ya Kutaifisha Ndege Za Nchi Za Magharibi

0
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametia saini sheria ambayo itaruhusu mashirika ya ndege ya Urusi kuchukua udhibiti wa mamia ya ndege zilizotengenezwa na nchi...
Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia Atoa Sh. Milioni 15 Kwa Taasisi Ya Ali Kimara

0
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia  Suluhu Hassan ametoa Shilingi milioni 15 kwa lengo la kuisaidia Taasisi ya Ali Kimara huku akiipongeza...
Saudi Arabia Flag

Saudi Arabia “Yanyonga” Watu 81 Ndani Ya Siku Moja

0
Ufalme wa Saudi Arabia siku ya Jumamosi ulifanya mauaji makubwa ya watu 81, shirika la habari la Saudi Arabia liliripoti. Watu hao 81 walipatikana na...

Stream Shenseea’s Debut Album ‘Alpha’ f/ Megan Thee Stallion, and More

0
Shenseea continues to make waves. After collaborating with some of music’s biggest names, the Jamaica-born dancehall singer has returned with Alpha, her much-anticipated debut album under Interscope....
Rais Samia Na Mbowe

Rais Samia Akutana Na Freeman Mbowe

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...

Freeman Mbowe Na Wenzake Waachiwa Huru Kesi Ya Ugaidi

0
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu, leo Machi 4, 2022 wamefutiwa mashtaka yote yaliyokuwa yakiwakabili katika Mahakama...
Africans in Ukraine Discriminated

Racism Claims Start To Emerge From Ukraine: Africans Are Blocked From Getting On Trains...

0
As millions of people attempt to leave Ukraine and seek refuge in neighboring countries, a disturbing trend has surfaced ... namely, Africans, allegedly, being...
Vladimir Putin of Russia

Rais Vladimir Putin Aviweka Tayari Vikosi Vyake Vya Nyuklia

0
Rais wa Russia Vladimir Putin, amevipa utayari na kuviweka kwenye tahadhari ya juu vikosi vyake vya kijeshi vinavyotumia silaha za nyuklia. Vikosi hivyo ambavyo...

Check Out How Kim Kardashian’s Style Has Changed Since Her Divorce From Kanye West

0
When she began dating Kanye West in 2012, Kim Kardashian underwent a major style shift. As many fans remember, Kanye was suuuper vocal about Kim's fashion choices both...
Russia Attacks Ukraine

Russia Attacks Ukraine: Explosions In Kyiv

0
A photo provided by the Ukrainian President's office appears to show an explosion in the country's capital, Kyiv, early Thursday, February 24.Ukrainian President's Office After...

Rais Samia Azungumza Na Watanzania Wanaoishi Nchini Ubelgiji Na Luxembourg

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika kikao na Watanzania wanaoishi nchini Ubelgiji na Luxembourg leo tarehe 18...
Freeman Mbowe Chadema

Freeman Mbowe Na Wenzake Wakutwa Na Kesi Ya Kujibu

0
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 imetoa uamuzi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine...
President Samia Suluhu Hassan with Tundu Lissu in Belgium

Rais Samia Suluhu Hassan Akutana na Tundu Lissu Nchini Ubelgiji

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana leo na kufanya mazungumzo mafupi na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...

Mwenyekiti Wa Simba Afurahishwa Na Uwezo Wa Timu Yake

0
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba Al Murtaza Mangungu amesema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji  wao katika mchezo wa Kombe la Shirikisho  hatua ya...

Rais Samia Atoa Bilioni 1.5 Kuuinua Mfuko Wa Wasanii

0
Na Shufaa Lyimo RAISI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa bilioni 1.5 kwa ajili ya kuuinua mfuko wa wasanii ukiachilia bilioni 1.5...

Forbes’ Top 10 Highest-Paid Entertainers In 2022

0
Mega-bucks Alberto E. Rodriguez/Getty Images Forbes released a list of the highest-paid entertainers in 2022 A lot of familiar names are on it, especially on the Top...