Tesla-Elon Musk

Kiwanda cha kikubwa cha magari yanayotumia umeme aina ya Tesla kimefunguliwa rasmi mbele ya Mkurugenzi Mtendaji, Elon Musk, na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, nje kidogo ya mji wa Berlin inchini Ujerumani.

Kiwanda hicho kikubwa na kinachoendeshwa na mitambo ya kisasa zaidi, kitawezesha uzalishaji wa magari nusu milioni kikiwa kinafanya kazi kwa silimia mia.

Tumewawekea video kuwaonyesha jinsi kiwanda hicho kilivyo, na utengenezaji magari unavyoendelea kwa kutumia roboti kufanikisha hatua mbalimbali za utengenezaji huo.

Previous articleGrammy Awards 2022: Best Fashion On The Red Carpet
Next articleRais Obama Arudi Ikulu Ya Marekani