Sunday, October 1, 2023

Diamond Platnumz Adai Bongo Flava Inakuwa Kwa Kasi Kimataifa

0
Huenda akizungumza unaweza usimwelewe, lakini Diamond Platnumz aliamua kufikiri nje ya boksi na kufanikiwa kufanya kile alichokuwa akikikusudia, leo hii tayari makumi ya wasanii...

Mabasi Yagongana Mkoani Mara Nchini Tanzania na Kusababisha Vifo Vya Watu 39

0
Musoma. Watu 39 wamefariki dunia huku 79 wakijeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu eneo la Sabasaba, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara. Miongoni mwa waliofariki dunia...

Ziara Ya Rais Wa China Nchini Tanzania Yatumika Kusarisha Meno Ya Tembo

0
Dar es Salaam - Ziara ya Rais Xi Jinping wa China aliyoifanya nchini Machi mwaka jana, imezua kizaazaa na kuitia ila sifa ya Tanzania...

Vigogo Takukuru, TRA, CAG, Kikaangoni Kamati Ya Zitto

0
Dodoma - Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) leo inaanza kuwahoji watu mbalimbali waliohusika katika uchunguzi au tuhuma za kashfa ya IPTL...

Lady Jaydee

0
City : Dar Es Salaam Artist Type : Bongo Flava The Best Bongo Flava female artist in Tanzania.

Saadani: Hifadhi Ya Kipekee Iliyo Ufukweni Mwa Bahari Barani Afrika Inayokosa Watalii

0
Unapozungumzia hifadhi 16 za taifa, Mbuga ya Saadani siyo maarufu masikioni mwa Watanzania wengi. Pengine hii inatokana na kupandishwa hadhi miaka ya hivi karibuni. Pia...
img-sing

Vanessa Mdee Azungumzia Fitna Katika Muziki Tanzania

0
Dar es Salaam - Mwanamuziki wa kike, Vanessa Mdee maarufu kwa jina la Vee Money, amewataka wasanii kujituma katika kazi na kuachana na fikra...