Timu za mataifa 29 tayari zimefuzu kushiriki mashindano ya kombe la dunia kwa mwaka 2022 nchini Qatar. Jumla ya timu za mataifa 32 zinatarajiwa kushiriki kwenye mashidano hayo maarufu kupita yote Duniani.

Nafasi 3 za mwisho kushiriki mashindano hayo zitaamuliwa mnamo mwezi Juni kati ya timu za mataifa ya Costa Rica au New Zealand; Peru, Australia au Falme za Kiarabu; na Wales, Scotland au Ukraine.

Kwenye hatua ya kuchagua makundi ya mashindano ya mwaka huu kutakuwa na makundi makubwa manne ambayo yatasaidia kupanga timu kwenye hatua ya awali ya makundi nane. Kundi kubwa la kwanza kwa ajili ya kuchagua timu kwenye hatua za makundi linajumuisha nchi za zifuatazo;

Kundi kunbwa la pili, tatu na la nne nalo linajumuisha timu za nchi zifuatazo;

Baada ya hatua ya kupanga makundi makubwa, timu ziliwekwa kwenye makundi madogo manane kutoka herufi A mpaka H na matokeo yake ni kama ifuatavyo.

Mashindano hayo yataanza kufanyika tarehe 21 mwezi Novemba na kumalizika tarehe 22 mwezi Desemba mwaka huu nchini Qatar.

Previous articleDiamond Platnumz Feat. Zuchu – Mtasubiri
Next articleThe 2022 Grammy Awards In Pictures