Beyonce ameshehereke siku yake ya kuzaliwa akiwa na mume wake Jay-Z na watoto wao watatu ndani ya Yatcht kubwa ya kifahari ndani ya nchi ya Croatia. Yacht hiyo ya aina yake na kifahari inagharimu dola milioni 2 kwa wiki kuikodisha.
Home News Entertainment Beyonce na Jay-Z Wakodisha Yacht Kubwa Ya Kifahari Inayogharimu Dola Mil. 2...