Rais Kikwete Afanya Mabadiliko Baraza La Mawaziri Tanzania
RAIS Jakaya Kikwete jana alitangaza baraza lake la mawaziri na kuwatupa nje mawaziri waandamizi akiwemo Mustafa Mkulo, huku akiweka wazi kuwa atawashukia makatibu wakuu na wakurugenzi wote ambao wizara na idara zao zilihusishwa na tuhuma za ufisadi.
Copyright © 2011 — Bongo Radio