Chicago
London
Dar Es Salaam
 
 

News

21 Jul, 2014 19:50:03

Dar/Zanzibar - Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema wajumbe wa Bunge la Katiba kutoka katika chama chake hawatashiriki katika Bunge hilo linalotarajiwa kuendelea mwezi ujao.

 


News By Staff Reporter


20 Jul, 2014 21:31:26

Munira baada ya kuamrishwa na ‘bosi’ wake kufanya kazi hiyo, alielekezwa na wenzake kwenda eneo la soko liitwalo Chambu Chambu ambako wanawake Watanzania wanafahamika kuwa maarufu kwa biashara ya ukahaba.
 

News By Staff Reporter


03 Jul, 2014 01:53:36

Nairobi - Juni 21 ilikuwa ni siku ya kawaida kwa Mama Nancy mkazi wa Narok nchini Kenya, lakini ilifichua siri nzito ya mtoto aliyefichwa kwa miaka kumi katika banda la mbuzi.

Akiwa katika shugh


News By Staff Reporter


18 Jun, 2014 23:30:06

Dar es Salaam - Kampuni ya Statoil ya Norway na mshirika wake ExxonMobil wamegundua kiasi kingine kikubwa cha gesi katika Bahari ya Hindi nchini Tanzania.

 

Kiwango hicho kinakadiriwa


News By Staff Reporter


11 Jun, 2014 23:37:56

Dodoma - Bajeti ya Sh50 bilioni zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya safari za Rais Jakaya Kikwete katika mwaka ujao wa fedha ni miongoni mwa mafungu ya fedha ‘yaliyopigwa panga’ ili kuwezesha kupatikana kwa fedha za kugharimia miradi ya maendeleo.

 


News By Staff Reporter


14 Apr, 2014 21:31:44

Dodoma/Dar - Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.

 

Lissu


News By Staff Reporter


14 Apr, 2014 21:19:56

Dar es Salaam - Mwanamuziki mkongwe pengine kuliko wote kwa sasa nchini na mwasisi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.

 

Hii ni baada ya hotuba ya ufunguzi wa Bun


News By Staff Reporter


19 Mar, 2014 23:22:38

Dodoma/Dar - Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba jana aliliteka Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, alipowasilisha Rasimu ya Katiba na kushangiliwa katika maeneo mengi nyeti na kupigiwa kelele katika vipengele vichache vya uraia na ardhi.


News By Staff Reporter


27 Feb, 2014 00:43:52

Mwanamuziki maarufu nchini, Naseeb Abdul, ‘Diamond’, amesema anapenda kusaidia jamii kuliko kustarehe. Mwanamuziki huyo alidai kuusaidia watu ambao kweli wanahitaji msaada ni suala la msingi sana kwani wanafarijika na kujiona nao wana watu wanaowajali.

 

<


News By Staff Reporter


15 Feb, 2014 00:11:26

Dar es Salaam/Arusha - Wakati kuna joto la vyombo vya habari vya kimataifa kuituhumu Tanzania kuwa haipambani na ujangili, Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imeubaini mtandao unaojumuisha watu 40, akiwemo tajiri maarufu mkoani Arusha.

 

 
 
Copyright © 2011 Bongo Radio. Subsidiary of Bongo Media Group. All Rights Reserved
Valid XHTML 1.0 Transitional